Shirika la Kudhibiti Madawa barani Ulaya, EMA limeidhinisha matumizi ya chanjo ya BioNTech-Pfizer kwa watoto wenye umri kuanzia miaka 12 hadi 15 // Mahakama ya Katiba ya Mali imemtangaza Kanali Assimi Goita kuwa rais wa mpito // Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron ameapa kusaidia juhudi za kutengeneza chanjo za virusi vya corona barani Afrika