Viongozi mbalimbali na watu mashuhuri wametoa salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Winnie Mandela, aliyefariki dunia jana // Urusi imesema huenda Uingereza iliamuru kufanyika kwa shambulizi la sumu dhidi ya jasusi wa zamani wa Urusi kwa maslahi ya Uingereza // Marekani imeishutumu China baada ya kuanza kutoza ushuru bidhaa za Marekani zinazoingia nchini humo.