Siku ya kimataifa ya Milima Duniani
11 Desemba 2012Matangazo
Siku hii inaadhimishwa kukiwa na changamoto kadhaa za kimazingira zinazoikabili milima mingi, ikiwemo ya mabadiliko ya tabia nchi. Kutoka Tanzania Sudi Mnette alizungumza na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, inayohusika na ardhi, maliasili na mazingira James Lembeli. Na kwanza alianza kuelezea jitihada zinazofanyika katika kukabiliana na tatizo la kuyeyuka kwa theluji katika mlima Kilimanjaro.
(Kusikiliza mazungumzo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)
Mwandishi:Sudi Mnette
Mhariri:Yusuf Saumu