JamiiPirikapirika za maandalizi ya Siku Kuu ya Eid-ul-Adha MombasaTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamii19.07.202119 Julai 2021Mjini Mombasa, pwani ya Kenya maandalizi ya siku kuu ya Iddi yameanza. Katika soko la mifugo la Kikowani shughuli za kawaida zinaendelea huku wateja wakiendelea kujitokeza kununua mbuzi kwajili ya kuchinja wakati wa iddi. Todayhttps://p.dw.com/p/3whHzMatangazo