JamiiOngezeko la wanawake watembezaji watalii ZanzibarTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamiiSylvia Mwehozi16.01.201916 Januari 2019Mpenzi msikilizaji katika Makala haya ya Wanawake na Maendeleo utaskia kuhusu Sekta ya utalii visiwani Zanzibar ambayo huchangia pato la taifa, lakini leo tunawatizama wanawake watembezaji watalii, msimulizi ni Salma Said.https://p.dw.com/p/3BfOpMatangazo