SiasaOctopizzo ni kioo cha jamii KiberaTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaJacob Safari14.08.201814 Agosti 2018Kama vijana wengi katika mtaa wa mabanda wa Kibera jijini Nairobi, Henry Ohanga au Octopizzo kama anavyofahamika na wengi alikuwa akiamini kwamba hawezi kufanikiwa maishani. Lakini sasa ni mmoja wa waimbaji mahiri wa mtindo wa Rap afrika Mashariki.https://p.dw.com/p/33A31Matangazo