JamiiNi kwa kiasi gani unalijua tatizo la autism? To play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamiiLilian Mtono01.11.20191 Novemba 2019Ugonjwa wa akili wa watoto au tawahudi ama Autism. Unaufahamu kwa kiasi gani ugonjwa huu? Dalili zake na hata namna ya kuishi na mtoto mwenye tatizo hili? Makala hii ya Afya yako ina mengi ya kukueleza kuhusu Autism. Sikiliza.https://p.dw.com/p/3SKZUMatangazo