Mzee Chillo msanii mkongwe katika sanaa ya sasa ya Tanzania
Sanaa
Sudi Mnette18 Julai 2019
Katika kipindi cha Karibuni, safari hii msikilize Ahmed Olotu maarufu kama Mzee Chillo, msanii mkongwe anaetamba katika tasnia ya sasa ya filamu ya Tanzania. Zaidi ungana na Sudi Mnette.