SiasaMshauri wa maandamano ya wanafunzi ChadTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaYusra Buwayhid11.07.201711 Julai 2017Wanaharakati vijana kutoka nchini Chad wanafanya kazi pamoja kutafuta njia za amani za kuandamana na kupinga ukosefu wa haki nchini humo. Wanawaunga mkono wanafunzi na kuwafunza namna ya kuandamana kwa amani.https://p.dw.com/p/2gMHLMatangazo