JamiiMitindo ya mavazi ya watu wa Herero To view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamiiSylvia Mwehozi22.11.201822 Novemba 2018Ukiwa mwanaume na uwe mbunifu wa mavazi, jamii inakuchukulia vipi? MacBright Kavari anatoka Namibia, anajaribu kuelezea historia ya watu wa Herero kupitia mavazi yake. Vijana Mubashara. https://p.dw.com/p/38itJMatangazo