Mfumo Dume Wakwamisha Wanawake AfrikaTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSalma mzee/M M T16.07.201516 Julai 2015Mfumo dume ni matokeo ya dhana za kurithi, imani za kidini, mila na tamaduni ambazo zinamkandamiza mwanamke na mtoto wa kike. Kwa zaidi sikiliza makala hii iliyoandaliwa na Salma Mkalibala.https://p.dw.com/p/1FzNxMatangazo