Washiriki kutoka mataifa 68 wanakutana Kenya kujadili mikakati ya kupambana na uharamia katika Pembe ya Afrika. Wataalamu wanasema mashambulizi ya maharamia katika eneo hilo bado ni tishio kubwa.
https://p.dw.com/p/31LjN
Matangazo
J3: 12.07.2018 African nations gather to confront piracy off Somalia coast - MP3-Stereo