1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Mchana 15.10.2016

Sylvia Mwehozi
15 Oktoba 2016

Tuliyo nayo : Mazungumzo mapya ya kidiplomasia ya kumaliza mgogoro wa Syria yanaanza tena nchini Uswisi Jumamosi ya leo baina ya Marekani na Urusi.Zaidi ya mataifa 150 yanayokutana nchini Rwanda yamekubali mpango wa kimataifa wa kupunguza gesi chafu inayochafuwa mazingira na Mshukiwa aliyepanga kufanya shambulio la bomu katika uwanja wa ndege wa Berlin alionyesha dalili za itikadi kali

https://p.dw.com/p/2RGSC