Polisi mmoja ameuwawa kufuatia shambulizi karibu na maeneo ya bunge nchini Marekani, Idadi ya waliokufa Myanmar kufuatia mapinduzi ya Februari mosi yafikia 550 na Rais wa Ujerumani Frank-Walter Steinmeier anatarajiwa kulihutubia taifa, katika wakati mgumu wa COVID 19