Rais wa Urusi Vladimir Putin amesaini hati za kuichukua rasmi mikoa minne ya Ukraine /Umoja wa Ulaya wachukua hatua kukabiliana na kupanda kwa bei ya nishati/Milio ya risasi yasikika nje ya makazi ya rais Burkina Faso/Mahakama ya jumuiya ya Afrika Mashariki yatupilia mabli maombi ya wananchi wa jamii ya wafugaji ya Maasai/Kenya : Wagombea wa ugavana kuwa na shahada au digrii