Afghanistan: Kumeripotiwa mlipuko nje ya uwanja wa ndege wa Kabul/ Kaskazini mwa Kenya yahofia vitisho vya ugaidi/ Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye amewashutumu vikali majaji wa nchi/ Zanzibar kujenga jengo kubwa la kisasa lenye ghorofa sabini na mbili/ Wito watolewa wa mashauriano kati ya Algeria na Morocco kutatua mvutano