Tunisia: Mvutano mkubwa baada ya rais kulisimamisha bunge/ Miito yahanikiza Tanzania kumuachia Freeman Mbowe/ Tanzania yaanza kutekeleza muongozo mpya kukabiliana na wimbi la tatu la janga Covid-19/ Nchini Kenya shule zafunguliwa leo kwa muhula wa kwanza/ Marekani na Iraq kujadiliana kuhusu vikosi vya jeshi