Waziri mkuu wa Japan Shinzo Abe ashinda uchaguzi wa leo wa Japan. Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Rex Tillerson amewataka wanamgambo wa Iran waliopo nchini Iraq waondoke. Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe amevuliwa ubalozi wa nia njema wa Shirika la WHO.