1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Jioni: 20.07.2024

20 Julai 2024

Jeshi la Bangladesh laingia barabarani huku polisi wakiwafyatulia risasi waandamanaji. Donald Trump kuhutubia mkutano wake wa kwanza wa kampeni huko Michigan. Umoja wa Ulaya kuweka shinikizo juu ya kupatikana suluhu ya mataifa mawili ya Israel na Palestina. Yanga ya Tanzania yafungwa 2-1 na Augsburg ya Ujerumani.

https://p.dw.com/p/4iXfP