VIDOKEZO: Wajumbe wa majadiliano katika mkutano wa COP25 wamaliza Madrid kwa kukubaliana kuhusu baadhi ya masuala lakini wamelazimika kuahirisha maamuzi muhimu hadi mwakani.//Washambuliaji kaskazini mwa Lebanon leo wamezichoma moto ofisi za vyama viwili vikuu vya kisiasa.//Kundi la wanamgambo wa Boko Haram limewaua wafugaji 19 kaskazini mashariki mwa Nigeria.