Trump aapa kuiadhibu vikali Saudia iwapo itakuwa imehusika na kifo cha mwandishi habari Jamaal Khashoggi. Maelfu waandamana mjini Berlin Ujerumani dhidi ya siasa kali za mrengo wa kulia za chama cha AfD. Na, Papa Francis awaondolea sifa maaskofu wawili wa Chile.