Makubaliano kati ya ACT na Rais wa Zanzibar yameanza kuwekwa hadharani mbele ya umma/ Kundi la vijana launda chama Mwaka mmoja kabla ya uchaguzi mkuu nchini Kenya/ Tanzania: CHADEMA leo hii kimefanya mkutano na waandishi wa habari/ Marekani imeapa kulitenga kabisa kundi la Taliban/ Kiasi cha watu milioni moja na lake nne wanahitaji misaada ya kiutu kutokana na ukame nchini Kenya