Iran yamtaka Joe Biden kuirudisha Marekani kwenye makubaliano ya nyuklia. Azerbaijan yasema inadhibiti mji wa Shushi huku Armenia ikikana madai hayo. Na, Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed awafuta kazi maafisa wa ngazi za juu mashambulizi yakiendelea Tirgay.