Tuliyo nayo jioni hii : Rais wa Ujerumani Joachim Gauck amesema anatiwa wasiwasi na uwezekano wa Donald Trump kuwa Rais wa Marekani // Uturuki yaishutumu Ulaya kwa kuunga mkono makundi ya kigaidi // Ujerumani yataka wahamiaji wanaookolewa baharini kurejeshwa Afrika.