Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Mike Pompeo aahidi Marekani itashirikiana na Japan kuondoa silaha za nyuklia Korea. Shirika la Polisi wa Kimataifa Interpol lataka jibu kutoka China kuhusu rais rais wake Meng Hongwei. Na, FIFA yaipiga marufuku Sierra Leone kushiriki michuano ya kimataifa.