Waziri Mkuu Johnson ashikilia hatojiuzulu na kwamba atapambana mpaka mwisho//Juhudi za uokozi Sloviansk huko Ukraine zaendelea huku mashambulizi ya Urusi yakipamba moto//Na Kongo na Rwanda wakubaliana kusitisha mapigano mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo.