Marekani yailaumu Iran kwa mashambulizi katika visima vya mafuta Saudi Arabia//Miezi mitano baada ya Bouteflika kujiuzulu Algeria yatangaza kuwa itafanya uchaguzi wa urais mwezi Disemba//Na Waziri Mkuu wa Uingereza Johnson akutana na Mkuu wa Umoja wa Ulaya.