Leo ni siku ya wasiwasi kwa Wakenya wengine wanaongojea hatua ya NASA kwenda mahakamani kupinga matokeo ya urais. Vita vya maneno vya hivi sasa kati ya Rais Donald Trump wa Marekani na Kim Jung-Un wa Korea Kaskazini vinazirejesha kumbukumbu za mabomu ya nyuklia akilini. Jumuia ya ushirikiano na maendeleo kusini mwa Afrika SADC yatimiza miaka 25 hivi sasa tangu ilipoanzishwa.