Mashambulizi ya Dola la Kiislamu (IS) nchini Afghanistan/ Wahamiaji zaidi wanachagua kuweka hatma yao mikononi mwa wasafirishaji haramu wa watu nchini Iraq/ Mazungumzo ya COP 26/ Wakulima wa maeneo ya vijijini huko Mashariki mwa Kenya wafaidika na mradi wa teknolojia ya aina yake/ Onyesho katika jumba la makumbusho ya Afrika mjini Brussels.