Mataifa 19 ya kundi la G20 kutekeleza makubaliano ya Paris kuhusu tabianchi. Nahodha wa meli ya misaada ya Ujerumani aikaidi Italia na kushusha wahamiaji. UN:Takriban mtoto mmoja mhamiaji hufariki kila siku tangu 2014. Kundi la Taliban lawauwa wanamgambo 26 wa serikali Afghanistan.