Vinja mbavu na uburudike na kazi ya kisanii kutoka kwa mwigizaji wa Tanzania, Masanja Mkandamizaji. Katika safu hio ya video Masanja anauliza maswali ya ghafla kwa kiingereza na majibu yake yanakuwa sio sahihi. Zaidi msikilize katika kipindi cha Karibuni kilichoandaliwa na Sudi Mnette.