1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Masaibu yaendelea kumwandama naibu rais wa Kenya

John Juma27 Septemba 2024

Kuna joto la kisiasa nchini Kenya kwa sasa hasa kile kinachoonekana kuwa ni masaibu yanayomuandama naibu rais Rigathi Gachagua, na madai kwamba wapambe wa rais William Ruto wanapanga kumtimua ofisini.

https://p.dw.com/p/4lB0e