SiasaMasaibu ya wagonjwa wakati wa migomo ya madaktariTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaJohn Juma24.01.201724 Januari 2017Ganga ganga zinapokosekana, mgonjwa hupoteza matumaini. Makala ya Afya Yako, inaangazia masaibu wanayokutana nayo wagonjwa nchini Kenya pale huduma zinapokosekana kutokana na migomo ya madakitari. https://p.dw.com/p/2WIH0Matangazo