Utawala wa Rais Donald Trump umeiondoa Marekani katika Baraza la Umoja wa Mataifa kuhusu Haki za Binadamu. Marekani imesema baraza hilo linaionea Israel, mshirika wake mkubwa. Umoja wa Mataifa na nchi nyingi muhimu zimeukosoa uamuzi huo. Papo kwa Papo.