Mtandao wa WhatsApp umebadilisha namna watu wanavyochangishana fedha za kusaidiana katika jamii zao. Michango ya harusi, msiba na kadhalika sasa inakusanywa katika magurupu ya Wharsapp. Ungana na Bruce Amani usikie zaidi katika kipindi cha Vijana Mchakamchaka.