Maktaba inayozunguka MwanzaTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video25.05.201625 Mei 2016Katika jiji la Mwanza wajasiriamali jamii wawili wameanzisha mradi wa maktaba ya vitabu inayozunguka "My Little travelling Library" wakitumia matoroli. Jiunge na mwandishi wetu Dotto Bulendu ujifunze mengi.https://p.dw.com/p/1IuI7Matangazo