1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mafanikio: Njia ya Kijerumani kushughulikia janga la corona

13 Mei 2020

Ujerumani imerekodi visa vichache vya vifo kutokana na janga la corona, ikilinganishwa na mataifa mengine. Aidha hospitali zake hazijakumbwa na shinikizo zaidi kama inavyoshuhudiwa kwingineko. Je siri ya mafanikio katika pambano lao ni ipi?

https://p.dw.com/p/3cB4f