Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Kudhibiti Ukimwi ya Tanzania Leonard Maboko anaeleza kwamba maabukizi mapya ya virusi vya ukimwi bado ni ya kiwango cha juu duniani kote, wakati akihudhuria Kongamano la 22 la Kimataifa la UKIMWI mjini Amsterdam, Uholanzi.