JamiiLijue kwa kina "Bwawa la Mungu"To play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamiiSudi Mnette02.04.20212 Aprili 2021Ni kwa kisi gani unalitambua bwawa la Numba ya Mungu lililoko huko nchini Tanzania? Sitaki kukwambia lakini kuna mambo huko na utajua zaidi ukisikiliza kipindi hiki cha Karibuni na Sudi Mnette. Anakwambia Sadiki Ukipenda!https://p.dw.com/p/3rXBQMatangazo