Katika sehemu kubwa ya Afrika Mashariki, lugha ya kiingereza inazingatiwa kuwa ya wasomi na yule aizungumzaye hupewa hadhi na heshima fulani. Makala ya Vijana Mubashara inasaka maoni na fikra zako, iwapo ni kweli kufahamu Kiingereza ni jambo la fahari na busara?