1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kwa nini uwakilishi wa Afrika ni muhimu katika Baraza la Usalama ?

16 Agosti 2024

Mjadala kuhusu uwakilishi mdogo wa kihistoria wa Afrika kwenye Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa umeshika kasi, huku Katibu Mkuu Antonio Guterres sasa akiunga mkono juhudi za Umoja wa Afrika za kupata viti zaidi kwenye baraza hilo.

https://p.dw.com/p/4jVUe