Ni muhimu sana kudumisha viwango vya maji mwilini maana ni moja ya mambo yanayokufanya uwe na afya njema siku zote na hasa katika mwezi mtukufu wa Ramadhan kwa Waumini wa Kiislamun wanaofunga. Kuzingatia lishe bora pia ni kitu muhimu, Je ni vyakula gani vinavyopaswa kuliwa wakati huu? Amina Abubakar na mengi zaidi kwenye kipindi cha Afya Yako.