Ni tamanio la kila mama mjamzito kujifungua salama na kumbeba mwanawe mikononi mwake baada ya safari ya miezi tisa ya ujauzito. Lakini,baadhi ya akina mama wajawazito hupoteza Maisha yao kabla ya kujifungua au hata baada ya kujifungua kutokana na changamoto tofauti kwenye ujauzito wao. Tunamulika jimboni Marsabit nchini Kenya kutokana.