JamiiKlabu ya vijana ya Njoo tuzungumze tuokoe jamiiTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamiiSylvia Mwehozi25.06.201925 Juni 2019Veronica Natalis leo yupo na wanafunzi kutoka shule ya Mukrat kaskazini mwa Tanzania mkoani Arusha. Wanaunda klabu ya FEMa inayoitwa njoo tuzungumze na tuokoe jamii. Je wana yapi ya kusema tafadhali ungana naye katika mjadala ufuatao. https://p.dw.com/p/3L2z4Matangazo