JamiiAfrikaKitabu cha maajabu visiwani ZanzibarTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamiiAfrika27.01.202227 Januari 2022Sadiki ukipenda, inasafiri hadi Pemba huko Zanzibar kukitizama kitabu kikongwe kilichookotwa baharini kikiwa kikavu bila ya kulowana. Wakaazi wanasimulia huku serikali ikijaribu kukitangaza kama mojawapo ya maajabu ya dunia. #Sadikiukipendahttps://p.dw.com/p/46Bq1Matangazo