KASSEL:Rais H.Köhler afungua maonyesho ya sanaa
17 Juni 2007Matangazo
Rais Horst Köhler wa Ujerumani amefungua rasmi maonyesho ya sanaa katika mji wa Kassel kaskazini magharini mwa Ujerumani ambapo tuko za sanaa kutoka Afrika pia zinaoneshwa.
Wasanii zaidi ya mia moja wanaonesha kazi zao kutoka sehemu zote za dunia.Watu zaidi ya nusu milioni wanatarajiwa kutembelea maonyesho hayo.