JamiiAfrikaKanisa la wenye ulemavu wa kusikiaTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamiiAfrika15.03.202115 Machi 2021Ni kanisa la Emmanuel lililopo Buguruni Dar es laam, Tanzania ambalo ni mahsusi kwa wenye ulemavu wakusikia. Nia ni kutoa huduma ya kuabudu kwa kundi hilo ambalo limesahaulika kwenye jamii. Video na Yakub Talibhttps://p.dw.com/p/3qf0aMatangazo