JamiiAfrikaJuhudi za kuwasaidia wanamichezo walemavu KenyaTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamiiAfrika30.09.202130 Septemba 2021Kikundi cha Shauri Moyo Self Help Group ni cha watu walio na ulemavu wa aina tofauti na wanatengeza vigari na baiskeli maalum za usafiri jijini Nairobi kuwasaidia wenzao walio na ulemavu.#Kurunzihttps://p.dw.com/p/416TiMatangazo