JamiiJe, uvutaji shisha una madhara?To view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamiiBruce Amani24.04.201824 Aprili 2018Uvutaji shisha ni kitu ambacho kimewavutia sana vijana wengi. Lakini je, kuna madhara yoyote ya kiafya yanayotokana na kuvuta shisha? Haya hapa baadhi ya maoni https://p.dw.com/p/2wXxVMatangazo