Je vijana wanazungumziaje mwaka uliomalizika wa 2018? Je walifanikisha yaliyokuwa matarajio na maazimio yao? Je wanatarajia nini katika mwaka mpya wa 2019? Ni miongoni mwa masuala ambayo vijana wanajadili wakiwa Kigali Rwanda kwenye kipindi cha Vijana Tugutuke. Kiongozi wa mjadala wakati huu ni Syvanus Karemera